Naomba kuelimishwa ni kwanini Makamu wa Rais Samia hakuwa mtu wa kwanza kupewa taarifa ya kifo cha Hayati Dkt. Magufuli?

Mambo yetu ni Gizani.

Uwazi tuwaachie Namibia.

Tulihoji, PM alisemaje? Samia je?
 
🚮
 
Kuanzia sasa uwe wa kwanza kuunga mkono harakati za kudai Katiba Mpya! Iliyopo inaweza kuchezewa na watu kama wanavyotaka!
Hapo kama asingekuwa CDF aliyepo hatujui kama ndiye angeapishwa!
 
Sasa hivi ndio naelewa kwa nini hawakuona hata umuhimu wa kumpa taarifa ya kifo.
 
Na wewe wa ndani unatoka kuuliza nje!
 
Huwa nashindwa kuelewa mnaposema rais samia mzalendo huwa mnamaanisha nini au mimi sijui maana ya uzalendo,
 
Wewe dogo kumbe ni Mjinga sana

Makamu wa Rais Dr Samia ndio alikuwa Mtu wa Kwanza kupewa Taarifa

Kumbe ndio sababu unapishana na Teuzi bure Kabisa 😂😂😂
 
Yaani watu wanajifanya wamesahau Katiba Kwa kusudi,aisee Samia ni muingwana aliyepitiliza ,hao Kwa Sasa walitakiwa kuwa kolomoloni Kwa uhaini

View: https://www.instagram.com/p/C4m9n-0N7Ar/?igsh=Mzd1M2dpNDA2MGpy
 
Wewe dogo kumbe ni Mjinga sana

Makamu wa Rais Dr Samia ndio alikuwa Mtu wa Kwanza kupewa Taarifa

Kumbe ndio sababu unapishana na Teuzi bure Kabisa 😂😂😂
😄😄😄😄😃🙏🙏 Bila shaka umeshakunywa ma ulanzi yako tayari. Hivi umemsikiliza jenerali Venance Mabeyo akizungumza? Au umelewa ulanzi😃😃hujasikia kuwa waliwaita waziri mkuu na katibu mkuu kiongozi na kuwaeleza wazi kuwa Mheshimiwa Rais ametutoka? Hujasikia akieleza kuwa wakaanza kuulizana ni namna gani wawasiliane na makamu wa Rais na kwa njia ipi katika kumpatia taarifa?
 
Ulivyo Mpumbavu unadhani hao ndio walikuwa wanapewa Taarifa

Sasa huwa unajitutumua humu na kanamba ka Simu kumbe mambo mengi ya taratibu za kimfumo yamekupita mbali Kabisa

Mtu asiyeijua nafasi ya Katibu Kiongozi kimfumo unakuwaje Mshauri na mtetezi wa Spika Dr Tulia mitandaoni?

Niishie hapo

Ila we Kijana wa kisafwa ni Bure Mno 😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Huelewi nini lucas? Kiufupi katiba imekaa hovyo kiasi huwezi kumuweka makamu wa Rais karibu na Rais. Itatokea siku makamu wa Rais ni mpuuzi akamuua rais then huyo akapewa mamlaka.
 
Huelewi nini lucas? Kiufupu katiba imekaa hovyo kiasi huwezi kumuweka makamu wa Rais karibu na Rais. Itatokea siku makamu wa Rais ni mpuuzi akamuua rais then huyo akapewa mamlaka.
Katiba yetu ni nzuri na ndio maana inaeleza waziwazi kuwa nini kifanyike likitokea la kutokea. Lakini pia mtu yeyote anaweza kukuuwa hata kama hataki yeye kuchukua kiti chako na wala hayupo katika nafasi ya kurithi kiti chako kikatiba.
 
Msikilize mabeyo vizuri utaelewa yote hayo ameyajibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…