Naomba kuelimishwa ni kwanini Makamu wa Rais Samia hakuwa mtu wa kwanza kupewa taarifa ya kifo cha Hayati Dkt. Magufuli?

Wewe ukitaka kutoa taarifa ya awali kabisa ya msiba ya baba yenu katika familia yenu, mtu wa kwanza kabisa kumtaarifu itakuwa ni kaka yako mkubwa ama mama yako!? Utaratibu wa kutoa taarifa nzito kama hizo huwa unahitaji tahadhari kubwa ya kiulinzi na kiusalama.
 
Hoja yako ni ipi "wa kwanza kupewa taarifa" au "anayetangaza?"
Kuna mahala Katiba imeelekeza juu ya kupewa taarifa? Mkewe angekua wa kwanza pia kupewa taarifa ungelelalamika?
Wewe hunaga akili kabisa😃😃😃sasa mke wake ni wapi katajwa katika katiba yetu? Kwani katika mlolongo wa viongozi kutoka wa juu kuna mahali mke wa Rais au mume wa Rais katajwa? Jipige kifua useme kuwa wewe huna akili😃😃😃
 
Nchi haiendeshwi kama familia.ndio maana nchi ina katiba na kila kitu kinaendeshwa kikatiba na ndio maana Rais Samia aliapa kwamujibu wa katiba na siyo familia.
 
"Kwa sababu katiba ipo wazi kabisa kuwa anapokuwa amefariki Dunia Rais anayetakiwa kutangaza kifo hicho ni makamu wa Rais"

Nimekunukuu hapo juu , ni kifungu kipi au namba ngapi kinachoelekeza hivyo?
 
Safi sana umemjibu vizuri sana huyo nyumbu asiyejitambua.
 
Suala siyo miaka mingapi katiba iliyonayo bali ni ubora wa katiba na mahitaji yake kulingana na wakati.maana ukisema hivyo kuwa inamiaka sijuwi 47.nami nitakuuliza swali je katiba ya Marekani ina miaka mingapi?
 
Unaangahika na wafu.
Ngoja nikusaidie.
"mwaka 2021 nilimuua baba yake roma mimi ni nani"?
Roma mkatoliki nyimbo "mimi ni nani?
 
Leo Luca kidogo umeanza kupata Akili ya A Uchambuzi na kujua mambo! na Dunia inavyoe da sasa..

Sasa nisikilize Kwa makini kabisa mwanangu!
Haya mambo Achana nayo Kwa sababu kila siku unaweka namba humu JF so ID yako Iko Exposed sana na Ni simple sana kuwa Traced tumia hata ID fake kupost..

Usifikiri wakiofanya hivyo ni watu wadogo..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…