Naomba kuelimishwa ni kwanini Makamu wa Rais Samia hakuwa mtu wa kwanza kupewa taarifa ya kifo cha Hayati Dkt. Magufuli?

CCM kuitimba Katiba ni kawaida yao, mara ngapi wanalaumiwa kwa kwenda kinyume na Katiba, ukipata jibu hutashangaa hata hicho walichotaka kufanya kwa Mama Samia, hiyo ndio CCM HALISI.
 
Acha Uchochezi Lucas kwa mambo usiyojua.
 
CCM kuitimba Katiba ni kawaida yao, mara ngapi wanalaumiwa kwa kwenda kinyume na Katiba, ukipata jibu hutashangaa hata hicho walichotaka kufanya kwa Mama Samia, hiyo ndio CCM HALISI.
CCM huwa wanaheshimu katiba na ndio maana husisitiza sana kuiheshimu katiba yetu ndani ya chama na ile ya nchi.
 
Suala siyo miaka mingapi katiba iliyonayo bali ni ubora wa katiba na mahitaji yake kulingana na wakati.maana ukisema hivyo kuwa inamiaka sijuwi 47.nami nitakuuliza swali je katiba ya Marekani ina miaka mingapi?
Marekani wanaheshimu katiba na rais sio Mungu.

Na ndio maana Trump rais aliyekuwepo madarakani alishindwa uchaguzi 2020 na akakubali matokeo.

Ila Tanzania CCM ndio bingwa kuiba kura hata ikishindwa uchaguzi hawawezi kukabidhi madaraka kuheshimu katiba.

So usilinganishe Tanzania na US kwa kufuata katiba.
 
Hata ije Tume ya uchaguzi kutoka marekani bado CCM itapita na kushinda kwa kishindo kikuu kitakacho itetemesha Dunia nzima.kinachoibeba CCM Ni ubora wa sera zake na ajenda zake zinazogusa maisha ya watanzania. Lakini pia huja na ilani katika kila uchaguzi inayokwenda na wakati na mahitaji ya watanzania kwa kila rika na kila kundi.ndio sababu hupata kura kutoka kwa wananchi wa rika na makundi yote.
 
Hili swali linataka majibu mujarabu,sio majibu mepesi
 
Hongera kwa kujipendekeza update cheo,,lakini tukiwambia tuandike katiba mpya hamtaki basi acheni kulaumu
 
CCM haishindi uchaguzi kwa tume inashinda kwa mtutu miaka yote.

Hujiulizi kwanini matokeo ya urais hayahojiwi kortini ilhali ubunge na udiwani petition zinapelekwa mahakamani kujadiliwa?

Tanzania rais haiheshimu tume, majeshi, katiba, bunge ,wala mahakama vyote kaviweka mfukoni .

Trump aliwahi kuwa impeached je Tanzania muhimili wa bunge unaweza kufanya impeachment kwa rais?
 
Kwanini hakuna ulazima wakati unaona kuwa kwa mujibu wa katiba Makamu wa Rais ndiye anatakiwa kutangaza kifo cha Rais?
Si ndiyo alitanganza ,, shida kwako nini..Mtu WA kwanza kutaarifiwa alikuwa make wa Rais wewe unalazimisha kwanini Samia hakutaarifiwa kwanza..Unajua protocal za kumtaarifu makamu wa Raid zinapelekwa na nani kwakwe.?
 
Mimi siandiki hapa jukwaani kwa ajili ya kutafuta cheo .bali naandika kwa ajili ya kupeana Elimu
Hakuna cha elimu wewe mjinga Fulani,,mbona tunaomba Katina mpya mnakuwa wanafiki wewe na ccm wrote mnakataa haragu mnakuja hapa kuhoji..jinga sana
 
Tunajafilia vitu vya ovyo badal ya kuambizana tunakabiliana vipi na mafisafi wanaoiba Mali za nchi kwa Kasi Sasa hivi na ncho ikibakinmasikini
 
Ujinga ni mzigo.....nakuomba uutue.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…