Nimekuwa nikiyasikia majeshi haya hapa nchini kwa muda mrefu sasa pasipo kujua uhusiano wa moja kwa moja uliopo kati ya Jeshi la kujenga taifa (JKT) na Jeshi la wananchi (JWTZ)
Kimuonekano ni wazi JKT husimamiwa na JWTZ kwani naona wanaotoa mafunzo ni JWTZ
Je, hivi vyombo huwa na uhusiano gani?
Pia tofautu zao ni zipi?
Kiongozi wa JWTZ, Jenerali Mabeyo anasimamia pia JKT au?
Naomba wajuvi mnijuze