Asante mkuu kwa elimu hiiView attachment 806868
kama unvyoona kwenye hiyo picha kutoka website ya TPDF wana kamandi ya makao makuu (MMJ), kamandi ya nchi kavu, kamandi ya anga na JKT.
hivyo kijeshi JKT ni kama kamandi ya JWTZ, na askari na maofisa ni walewale, unapangiwa tu kikosi baada ya kumaliza mafunzo inaweza kuwa yoyote kati ya hizo kamndi
Kwenye sheria ya JKT sijui inasemaje sijawahi isoma
Mkuu wa Field force huteuliwa Na IGP lakin Mkuu wa JKT hateuliwi Na Mkuu wa majeshi huteuliwa Na Rais PiaMi nadhani JKT ni part ya JWTZ
kama ilivyo field force ni part ya POLICE
JWTZ ndiyo walioanzisha mafunzo ya JKT na ndiyo wanaofundisha mpaka leo.(Directly and indirectly).nimekuwa nikiyasikia majeshi haya hapa nchini kwa muda mrefu sasa pasipo kujua uhusiano wa moja kwa moja uliopo kati ya jeshi la kujenga taifa (jkt) na jeshi la wananchi (jwtz)
kimuonekano ni wazi jkt husimamiwa na jwtz kwani naona wanaotoa mafunzo ni jwtz
je hivi vyombo huwa na uhusiano gani
pia tofautu zao ni zipi?
kiongozi wa Jwtz (mabeyo) anasimamia pia jkt au
naomba wajuvi mnijuze
Nadhani Ameelewa maana umeeleza vizuriJWTZ ndiyo walioanzisha mafunzo ya JKT na ndiyo wanaofundisha mpaka leo.(Directly and indirectly).
JKT imegawanyika katika makundi mawili. 1. Viongozi, walimu na wakufunzi, 2. Wanafunzi (servicemen).
Viongozi wote wa JKT lazima wapitie mafunzo ya depo za kawaida za JWTZ.
JKT (servicemen) hawapewi mafunzo ya kijeshi kwa undani. Na kwakiasi JKT hupewa mafunzo ya kijeshi kwa karibu 35% huku zilizobakia ni ujasiriamali na uzalendo!
Vyeo vinafanana. Ukiacha wale servicemen wale viongozi wao ni wanajeshi halisi na vita ikitokea wanakwenda kupambana kama wanajeshi wengine.
Kwakifupi JKT haihitaji silaha nzito zaidi ya bunduki za kulinda, mali zao ambazo ni karakana, mifugo, ofisi, bustani na maghala yao ya bunduki.
Na kimsingi WANAJESHI walioajiriwa JKT wote ni JWTZ, ile ni kama Kamandi kuu ihusuyo na malezi ya vijana na Uzalishaji mali. Kamandi zingine ni Landforce, Airforce na Navy nk nk. Hivyo basi elewa kuwa JKT na JWTZ ni kitu kile kile,ila JWTZ ndiyo mkuu wa yote.
Trafic Ni Kikosi Cha Polisi Wa Usalama Barabarani.Traffic nao itakuwa ni polisi jana walinikamua hela
Suma JKT guards, wale wote ni mchanganyiko wa JKT na mgambo. Hivyo ni sahihi tu wasilipe nauli. Hata ukiangalia ballet zao suma JKT guards zina mwenge wa uhuru.Nje ya mada
Kuna hawa walinzi wa Suma JKT nao hujiona wanajeshi. Hawayaki kulipa hata nauli
Sawa kamandaJWTZ ndiyo walioanzisha mafunzo ya JKT na ndiyo wanaofundisha mpaka leo.(Directly and indirectly).
JKT imegawanyika katika makundi mawili. 1. Viongozi, walimu na wakufunzi, 2. Wanafunzi (servicemen).
Viongozi wote wa JKT lazima wapitie mafunzo ya depo za kawaida za JWTZ.
JKT (servicemen) hawapewi mafunzo ya kijeshi kwa undani. Na kwakiasi JKT hupewa mafunzo ya kijeshi kwa karibu 35% huku zilizobakia ni ujasiriamali na uzalendo!
Vyeo vinafanana. Ukiacha wale servicemen wale viongozi wao ni wanajeshi halisi na vita ikitokea wanakwenda kupambana kama wanajeshi wengine.
Kwakifupi JKT haihitaji silaha nzito zaidi ya bunduki za kulinda, mali zao ambazo ni karakana, mifugo, ofisi, bustani na maghala yao ya bunduki.
Na kimsingi WANAJESHI walioajiriwa JKT wote ni JWTZ, ile ni kama Kamandi kuu ihusuyo na malezi ya vijana na Uzalishaji mali. Kamandi zingine ni Landforce, Airforce na Navy nk nk. Hivyo basi elewa kuwa JKT na JWTZ ni kitu kile kile,ila JWTZ ndiyo mkuu wa yote.
JKT ni kitengo cha JWTZHivi kuna tofauti gani kati ya jkt na jwtz
Naomba anayeweza kinielezea tofauti zao anifafanulie