MotoYaMbongo JF-Expert Member Joined Jan 7, 2008 Posts 2,146 Reaction score 886 Oct 23, 2013 #1 Heshima wana JF, Naomba kujua adhabu ya mtu anayekamatwa na pembe za ndovu kisheria ikithibitishwa bila shaka mahakamani. Kuna jamaa yangu amekamatwa nazo.
Heshima wana JF, Naomba kujua adhabu ya mtu anayekamatwa na pembe za ndovu kisheria ikithibitishwa bila shaka mahakamani. Kuna jamaa yangu amekamatwa nazo.