Wadau mwenye ufahamu na hii gari atujuze mana nategemea baadaye mambo yakikaa vizuri basi nione mchongo wa kuimiliki. Naona ni gari ya juu halaf cc 1590 tu.
Wazoefu na wadau msaada please.
View attachment 1453652
HONDA HR-V
Moja ya brand ambayo ni kali sana inakuja nanumbo la suv huku kwa ndani ikiwa na uwezo wa kubeba watu 5,lakini pia inakuja na teknolojia ya tofauti kidogo ... Kuanzia teknolojia ya injini usanifu wa bodi lake .. mpk uwezo wake wa barabarani ni gari ya kisasa sana
Gari hili inakuja na
Body Type: SUV
[emoji91]Extras: LCD Touchscreens, Leather
[emoji91]Seats, Roof Rails, Sunroof
[emoji91] Safety Features: ABS, brake assist,
[emoji91]SRS Airbags, Traction Control
[emoji91]Exterior Features: Alloy Rims, Fog
[emoji91]Lights, Rear Spoiler
[emoji91]Interior Features: A/C, adjustable
[emoji91]steering, Aux Power, Bluetooth
[emoji91]Connectivity, CD/DVD Player, Dual
[emoji91]Zone Climate, Keyless Entry,
[emoji91]Navigation(Optional), USB
MAELEZO
honda HR-V ni gari ambayo imeanza kutengenezwa tangu mwaka 1998–2006 na 2014–hadi leo katika uundaji wa gari hili limepitia katika vipindi kadhaa kipindi moja wapo ni mwaka 1999-2003 gari hili liliundwa likiwa na chaguo la milango mitatu na milango mitano , kuuzwa katika soko la ulaya ....mwaka mwaka huo 1996-2006
Kwa vizazi viwili kulikuwa na GH2 na GH4
Baada ya honda kupokelewa na kukubalika vyema soko la ulaya na America ...waalimua kuachia
Second generetion 2006-2013
Upande wa injini inakuja na machaguo matatu ya injini ambazo ziko vizuri
[emoji673]1.5 L. L15Z6 I4
[emoji673]1.5 L L15B I4
[emoji673]1.8 L R18Z9 I4
Katika injini injini ya 1.5 ni injini iliyo bora sana injini hii pia imetumika katika pia katika gari la honda fit lakini kwa hapa inakuja na maboresho makubwa na kuwa na ufanisi wa hali ya juu
Upande wa kufanana gari hii injininzoye tatu zimetumika pia katika gari hizi
Upande wa transmition ni
[emoji91]6-speed manual
[emoji91]CVT automatic
Upande wa
Interior & Exterior
Kwa upande wa ndani wa gari hili linakuja na maboresho ya ya dizaini tofauti na previous generations. dashboard na center console ziwekwa katika mtindo wenye kuvutia zaidi kuliko ilivyokuwa mwanzo ambavyo ilikuwa vimetengeneshwa , T dashboard yabgari hii inakuja na modern LCD screens ambayo inatoa taarifa mbalimbali kama fuel economy na audio settings. Upande wa bodi ya gari inakuja na maboresho kuliko first generetion ambayo bodi lake lilikuwa ni dogo kidogo na upande wa viti mwanzo vilibanwa lakini katika toleo hili linakuja na nafasi kubwa yenye kutosheleza vyema na hivyo kupelekea gari hii kuwa comfortable.
Storage Space
Upande wa mbele inakuja na , 2 cup holders, 2 bottle holders, door panel storage, a glovebox na cubby box. Kwa second row, kuna nafasi yabkuweka viti kwenye front seat pockets na door pockets.
Kwa nini ununue gari hili
[emoji108][emoji108] Modern design
[emoji108][emoji108] Spacious interior
[emoji108][emoji108] Good fuel economy
[emoji108][emoji108] Reliable
Upande wa mafuta tuone
[emoji673]1.5 L. L15Z6 I4 inatumia km 19 kwa lita 1
[emoji673]1.5 L L15B I4. Inatumia km 19 kwa lita 1
[emoji673]1.8 L R18Z9. Inatumia 15kwa lita 1
Unaweza kujiuliza kwa nini inatumia mafuta vizuri ....jibu inakuja na mfumo mzuri wa DOHC ambao unachanganya mafuta na hewa kwa kiac kizuri lkn pia mfumonwa umeme unawezesha gari hii katika iddle speed isitumie mafuta mengi
Upande wà acceleretion
[emoji673]1.5 L. L15Z6 I4 inatoka 0-100km/h kwa 13.5
[emoji673]1.5 L L15B I4. Inatoka 0-100km/h kwa sec 13.5
[emoji673]1.8 L R18Z9. Inatoka 0-100km/h kwa 9 sec
Upande wa tank la gari ni lita 40
Upande wa GROUND AND CLEARENCE
Kwa kuwa gari hii ninsuv inakuja na uvungu ambao ni 7.5 inch sawa na 185 mm kwa gari hii inafaa sana kwa mazingira ya mjini na kijinini kutoka na uvungu wake kwa nchi yetu kulingana na miundo mbinu gari inatakiwa ianzie angalau 6.5 inch kwa hii gari imevuka nanimetisha sana
Stabiliy and handlinga
Ni gari nzuri hasa upande wa barabarani imetulia sana katika mwendo mkubwa haionyeshi kupepesuka imetulia upande wa tairi inakuja na stability control ambayo inaiwezesha gari hii kugawa guvu kwa toleo la 4WD Kwa kutumia mfumo wa teknolojianinapokuwa katika tope kubaini tairi ipi imeshika vizuri na ndiko nguvu nyingi inaelekezwa huko na kufanya gari iwahi kutoka katika tope ... Bila kukata kiuno
Ununue ipi kati ya 4WD NA 2WD
kama upo maeneo ya mjini chukua tu 2Wd ila kama wewe ni mzee wa pori chukua 4WD.. Ila ujue 4WD inatumia mafuta kiac kikubwa kipo juu inatumia wastani wa km 12 kwa lita 1
Upande wa changanoto
[emoji108]Vipuli vimechangamka bei
[emoji108]Haihitaji gereji za vichochoroni
[emoji108] Inahitaji fundi mzuri na makini mwenye uelewa mzuri na sensor
Mwisho naomba kuwasilisha
Kwa mwenye nyongeza karibu sana , Honda HR-V ni bonge la suv inafaa sana na inauwezo mkubwa wa injini na pia ningari himilivu
Ushauri usiagize kupitia singapore ...itakusumbua maana gari hizo ni matoleo ya ulaya ...na mara nyingi zinakuja hazina hali nzuri agiza kutoka japani .....karibu ulimwengu ws honda