Naomba Kufafanuliwa kuhusu Gari aina ya Toyota Belta

Ndikwega

R I P
Joined
Feb 1, 2012
Posts
5,979
Reaction score
5,527
Wasalaam Wanajamvi,

Sina Mengi naomba mwenye Kujua kuhusu gari aina ya Belta Kiujumla Msaada kwa Ufafanuzi.

Je, Belta na IST ipi gari bora katika kila Nyanja?

Nawakaribisha kunitoa Tongotongo na Ahsanteni!
1591847008470.png

Toyota Belta
 
Toyota belta ina Cc ndogo kama ilivyo IST pia kwa upande wa comfortability hii gari iko poa zaidi kuliko IST ndiyo maana wenzetu wakenya wanazitumia Sana Kwenye biashara ya UBER ...
Ni gari mzuri kwa matumizi ya mjini kama ilivyo IST
 
Ni gari nzuri kwa mtu anayeanza kumiliki gari kwa mara ya kwanza...

Kwa nini..?
Ni Toyota hivyo spea zake mpaka gengeni kwa mangi....inaingiliana spea nyingi na vitz na hao wakina ist

Hii gari ni sawa kabisa na vitz new model kama ile pale pembeni ya picha yenye rangi blue....hizi ni gari moja tofauti Belta imepewa wowowo vitz imenyimwa wowowo.

Mafuta inatunza vizuri kama vitz na ist zile za 1.3 L.

Nisichopnda hii gari.....vile walivyoweka Dash board katikati....Binafsi sipendi magari ya hivi ya kuwkewa dash board katikati.
 
For both mentioned vehicles, built quality is very cheap. Ni mtazamo wangu tu lakini.
And that goes for all economical cars from Japan. Unafuu wa sheli unakuja na cheap interios poor ride quality!

Ila ukijibebea Crown yako 2.5L ndani ukumbi wa kutosha. Fool wood trimming and leather seats. Very quiet cabin environment plus comfy ride. Rasta unazifukia tu husikii kitu.
 
Ila utamu unakuja wakati wa kununua vipuri vya service ndio unaanza kuulizia "hamna ya chini yake kidogo..."
 
Saa kumi nitakujibu acha nifanye kazi kwanza nikitoa jibu asubuhi hii nitaufunga kabisa huu uzi na utaridhika na maelezo yangu baadae mkuu
 
Ni gari nzuri kwa mtu anayeanza kumiliki gari kwa mara ya kwanza...

Kwa nini..?
Ni Toyota hivyo spea zake mpaka gengeni kwa mangi....inaingiliana spea nyingi na vitz na hao wakina ist

Hii gari ni sawa kabisa na vitz new model kama ile pale pembeni ya picha yenye rangi blue....hizi ni gari moja tofauti Belta imepewa wowowo vitz imenyimwa wowowo.

Mafuta inatunza vizuri kama vitz na ist zile za 1.3 L.

Nisichopnda hii gari.....vile walivyoweka Dash board katikati....Binafsi sipendi magari ya hivi ya kuwkewa dash board katikati.
Shukrani kwa Ufafanuzi Mkuu!
 
Wasalaam Wanajamvi,

Sina Mengi naomba mwenye Kujua kuhusu gari aina ya Belta Kiujumla Msaada kwa Ufafanuzi.

Je, Belta na IST ipi gari bora katika kila Nyanja?

Nawakaribisha kunitoa Tongotongo na Ahsanteni!
View attachment 1474659
Toyota Belta
Mkuu nimerudi sasa kuja kufunga kazi

TOYOTA. BELTA

Kama unafikiria sana kununua gari kama ni kijana nakushauri nunua toyota belta kutokana na uwezo wake hasa kwenye mafuta iko vizuri mno , upande wa umbo la gari ni saloon
Washindani wa gari hii kwenye soko ni. Honda Fit Aria, Nissan Tiida, na Toyota Axio
Upande wa ndani inakuja na
[emoji108]Umbo la gari ni Saloon
[emoji108]Extras: Rear Spoiler
[emoji108]Safety Features: ABS, Curtain
[emoji108]Airbags, EBD, SRS Airbags, TRC, VSC
[emoji108]Exterior Features: Alloy
[emoji108]Rims(optional), Fog Lights(optional)
[emoji108]Interior Features: 12V 120W Power Output, CD/Radio player

MAELEZO
Toyota Belta Ilianza kuzalishwa mwaka 2005 na uzalishaji wake ulikoma mwaka 2012. generation hii inajulikana kwa jina la SCP9/NCP9 na iko based kwenye platform kama ilivyo second generation Toyota Vitz. Kuhusubtairi za gari hij ni kubwa kuliko za vitz upande wa ndani ina mvuto wa hali ya juu sana

Upande wa injini

Toyota Belta inakuja na machaguo matatu ya injini 3 ambayo ni
[emoji91] 1.0 Litre 1KR-FE engine,
[emoji91]1.3 Litre 2SZ-FE engine
[emoji91] 1.3 Litre 2NZ-FE engine(for 4WD models).

Upande wa transmition
i) Super CVT-i transmission for the 2WD models
ii) Super ECT transmission

Gari hii inakuja na grade mbili lakini zikiwa poa sana hebu tuone
[emoji108]Toyota Belta Grades

[emoji91][emoji91] Toyota Belta X – Toleo la grade hii ni la kwaida linakuja na 1.0L engine au 1.3L engines, 2WD/4WD, halogen headlights, basic speedometer gauge, keystart, 14-Inch steel rims na manual AC.

[emoji91][emoji91]Toyota Belta G – Toleo hili ni luxury grade linakuja na 1.3L engines, 2WD/4WD, xenon headlights, upgraded speedometer gauge, chrome trim, keyless/smart start, 15-Inch alloy rims, turn signal on side mirrors, luggage cover, padded seats na automatic AC.

Uchague lipi ? Kama unakipato cha mawazo au kama haujawahi kumiliki gari yoyote toka umetoka tumboni mwa mam yako nakushauri nunua Grade ambayo ni TOYOTA BELTA X....ni rahic sana kulimudu kuliko luxury ....japo la luxury linafaa sana kama ukiwa mtu wa safari sana utaenjoy

Toyota Belta Interior
Kwa upande wa ndani imepangiliwa vizuri sehemu ya kuweka miguu kwa upande wa mbele inananfasi kubwa ila kwa vitu vya nyuma kwa mtu ....anaweza kupata shida kwa muda mrefu kusafiri kama mtu ni mrefu anashauriwà akae kiti cha mbele ambacho kina nafasi kubwa , upande wa dashboard imewekwa vizuri ipo katika hii inasaidia wote walio ndani ya gari kuona mwendo na uunapoishiwa mafuta wote wanaona ...inakuwa rahic kuwaomba hela ya mchango wa mafuta [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Toyota Belta Exterior
Kwa upande wa nje , Belta inaelekea kufanan na Axio. Higher grades inakuja na alloy rims na fog lights.

Upande wa acceleretion

[emoji108][emoji108]Toyota Belta 1.0L accelerates inatoka 0-100 km/h kwa 15.4 sec.

[emoji108][emoji108] Toyota Belta 1.3L accelerates inatoka 0-100 km/h kwa 13.5 sec.

Hebu tuone upande wa mafuta iko vipi yaani hapa toyota [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nawapa pongezi mmejua kunikosha walahi hebu tuone

[emoji108] Toyota Belta 1.0L inatumia km 22.5 Kwa lita 1

[emoji108] Toyota Belta 1.3L 2WD inatumia km : 20.0 Kwa lita 1

[emoji108] Toyota Belta 1.3L 4WD inatumia km : 16.0 Kwa lita

Upande wa tank ni lita 42 ... Tu
Gari hii nimeipendea sana mafauta iko vizuri hasa kama unafanya biashara ya uber halafu gari iwe yako !! Lazima utoke shavu

GROUND CLEARENCE
Upande wa uvungu wa gari inakuja na 5.9 inch sawa na sawa na 150 mm kwa kuwa umbo lake ni dogo unaweza kuisogeza mpk 6.3 inch ukizidisha unaharibu center of gravity ya gari

Toyota Belta Stability and Handling
Upande wa injini ya 1.0 inahitaji uvumilivu kwa kuwa inamwendo mdogo na pia kwenye upandaji wa milima gari hii ipo slown sana
Injin ya 1.3 inaonyesha kidogo kiwa na mwendo lakini sio mkali kiujumla ni gari yenye mwendo wa wastani

Matunzo ya gari
Utasoma katika manuala ya gari ile ya kijapani tuliza akili wakati wa kuisoma maana wajapani wanajua kuwaweza watu sio kwa kijapn kile

Kwa nini ununue gari hii
[emoji108].inamatumizi mazuri sana ya mafuta
[emoji108]Inafaa kwa watu wa kipato kidogo
[emoji108]Service zake ni gharama ndogo sana
[emoji108]Gharama yake ya kuinunua ni ndogo
[emoji108]Spare zake hata usiwaze kabisa mpk maduka ya uswazi unapata popote pale inatibika

Changàmoto katika gari hii ni
.upande wa gear box inazingua sana kutokana na mazoea ya uwekaji wa oil ambayo haijashauli na watengenezaji wa gari , kuwa makini sana kwenye Transmition oil gear box yake ipo sensitive

[emoji108]Engine failure hasa kwa injini ya 1.0
Ukitaka kudumu na gari hili weka ujuaji wako pembeni soma manuala ya gari hata kama ni kijapani ww soma [emoji23][emoji23]

[emoji108]Unstable at high speed

Conclusion
The Toyota Belta is essentially a saloon version of the Toyota Vitz and therefore appeals to the same demographic. It’s ideal for people that value reliability, fuel efficiency and easy maintenance

View attachment 1475076View attachment 1475077View attachment 1475078View attachment 1475080
2013-Toyota-Belta-14.jpg
 
View attachment 1475076View attachment 1475077View attachment 1475078View attachment 1475080View attachment 1475079
Ahsante saana Mkuu, umeeleweka mno. Thanks.
 
Ni gari nzuri kwa mtu anayeanza kumiliki gari kwa mara ya kwanza...

Kwa nini..?
Ni Toyota hivyo spea zake mpaka gengeni kwa mangi....inaingiliana spea nyingi na vitz na hao wakina ist

Hii gari ni sawa kabisa na vitz new model kama ile pale pembeni ya picha yenye rangi blue....hizi ni gari moja tofauti Belta imepewa wowowo vitz imenyimwa wowowo.

Mafuta inatunza vizuri kama vitz na ist zile za 1.3 L.

Nisichopnda hii gari.....vile walivyoweka Dash board katikati....Binafsi sipendi magari ya hivi ya kuwkewa dash board katikati.
Sijui kwanini toyota wanakomaa na kuweka hizo gauges katikati ya dashboard, mimi pia sizipendi kwakweli.
 
Back
Top Bottom