Naomba kufahamishwa ada ya Chuo cha Primary Health Care institute Iringa

Naomba kufahamishwa ada ya Chuo cha Primary Health Care institute Iringa

Ada za masomo katika Chuo cha Primary Health Care Institute (PHCI) Iringa kwa mwaka wa masomo 2023/2024 ni kama ifuatavyo:

Kwa kozi ya Diploma ya Uuguzi na Ukunga, ada ni Tsh 1,255,400 kwa mwaka. Ada hii ni kwa wanafunzi wa ndani (local students.

Kwa taarifa zaidi kuhusu kozi mbalimbali zinazotolewa na chuo hiki pamoja na maelekezo ya kujiunga, unaweza kutembelea tovuti rasmi ya PHCI kupitia
https://www.phci.ac.tz
 
Ada za masomo katika Chuo cha Primary Health Care Institute (PHCI) Iringa kwa mwaka wa masomo 2023/2024 ni kama ifuatavyo...
Sawa Ila Ada ulionipa IPo Kwenye guiding book YA nacte, Shida Ni Moja kuna Muda zinatofautiana, mfano lugalo ukiangalia kwenye guiding ya nacte ada ni 1,130,400 Ila ukipata joining instructions yao inakuwa tofauti Ni 2,700,000
 
Back
Top Bottom