Naomba kufahamishwa basi nzuri ya kutoka Dar kuelekea Bukoba?

Naomba kufahamishwa basi nzuri ya kutoka Dar kuelekea Bukoba?

Premij canoon

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2018
Posts
1,203
Reaction score
2,771
Salaams wakuu, bila kupoteza muda naomba kufahamishwa basi nzuri ya kutoka DAR kuelekea Bukoba, iwe luxury full AC na iwe inajali muda.

Natanguliza shukran.
 
Hata Sijui,
Mi mdandiaji TU Ila nmezipanda Mara 2.

Huwa nazipandia tu njiani (kahama), nashukia pia njiani (dodoma).

Ila nenda TU stendi mbezi huwez kukosa mawasiliano/ofisi zao.

Wako vizur mno,
afu unaChaji mpaka simu, free Wi-Fi ndani ya basi, full ac

Afu viti vyao vina nafasi ya kutosha,Sio Ile kujibana bana.
 
Nimefatilia naskia kampuni ilishakufa
 
Back
Top Bottom