Premij canoon
JF-Expert Member
- May 27, 2018
- 1,203
- 2,771
wasomi!Wahaya bhna [emoji28][emoji28]
Mi mmanyema mkuu, wakigoma huko...Wahaya bhna [emoji28][emoji28]
Asante, office zao ziko wapi kwa ukaribu? Maana nipo kinondoni..Frester
Nimefatilia naskia kampuni ilishakufaHata Sijui,
Mi mdandiaji TU Ila nmezipanda Mara 2.
Huwa nazipandia tu njiani (kahama), nashukia pia njiani (dodoma).
Ila nenda TU stendi mbezi huwez kukosa mawasiliano/ofisi zao.
Wako vizur mno,
afu unaChaji mpaka simu, free Wi-Fi ndani ya basi, full ac
Afu viti vyao vina nafasi ya kutosha,Sio Ile kujibana bana.
Asante, Hawa office zao ziko wapi kwa karibu? Au Hadi mbeziHappy nation
Zipo shekilangoAsante, Hawa office zao ziko wapi kwa karibu? Au Hadi mbezi
Shukran mkuuZipo shekilango