Naomba kufahamishwa bei ya Iphone X kwa sasa

Naomba kufahamishwa bei ya Iphone X kwa sasa

Zina anzia 700k mpaka 900 inategemea na storage.

Zenj ni 550-650.
 
Kuna bei ya aina mbili mpya mm ya 64 GB ni 800K na 256 ni 850K huku used ambayo ipo clean kabisa ni 700k Kila ukitaka zenye kipengere zinaanzia 600K karibu nipo kariakoo msimbazi
 
Kuna bei ya aina mbili mpya mm ya 64 GB ni 800K na 256 ni 850K huku used ambayo ipo clean kabisa ni 700k Kila ukitaka zenye kipengere zinaanzia 600K karibu nipo kariakoo msimbazi
Kwa ushauri wangu bora angesogea walau kwenye 11
 
Zanzibar iPhone X laki 5 mpyaaa
Tengua kauli kwanza ifahamike hivi
X (10), ni toleo la mwaka 2017 kama sikosei status ya kiwanda yenyewe ni discontinued ( haitengenezwi tena).
Hivo basi zingatia utaziona zikiwa used or refurb tu na hakuna jipya sio mpya mkui
 
Back
Top Bottom