Naomba kufahamishwa bei ya Ndizi Tukuyu/Kiwira

Ismoo

JF-Expert Member
Joined
Apr 18, 2018
Posts
1,101
Reaction score
1,573
Wakubwaa..!

Samahani kwa yeyote anae fahamu bei ya Ndizi Tukuyu/Kiwira na utaratibu unaotakiwa kufuatwa ukitaka kununua.

Pia namna ya kusafirisha mpaka Dar es salaam nauli zinakuwaje, kodi pia anae fahamu kwa kina please naomba msaada.

Natanguliza shukrani. [emoji120]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…