Tlmau Member Joined May 12, 2019 Posts 11 Reaction score 14 Oct 24, 2021 #1 Samahani wakuu nani anafaham viwanda vya samaki mwanza huwa mara nyingi vinanunua samaki kilo kwa bei gani? Ukitokea mtu una labda tani tano za sato au sangara
Samahani wakuu nani anafaham viwanda vya samaki mwanza huwa mara nyingi vinanunua samaki kilo kwa bei gani? Ukitokea mtu una labda tani tano za sato au sangara
D David Goliath JF-Expert Member Joined May 16, 2018 Posts 949 Reaction score 1,878 Oct 24, 2021 #2 Uzi mzuri ila umetelekezwa
Mkereketwa_Huyu JF-Expert Member Joined Feb 19, 2011 Posts 9,836 Reaction score 7,231 Oct 24, 2021 #3 Nitakulipa elfu kumi kwa tani moja ya sato.
Tlmau Member Joined May 12, 2019 Posts 11 Reaction score 14 Oct 24, 2021 Thread starter #4 Mkereketwa_Huyu said: Nitakulipa elfu kumi kwa tani moja ya sato. Click to expand... Kumbe hauna akili baba
Mkereketwa_Huyu said: Nitakulipa elfu kumi kwa tani moja ya sato. Click to expand... Kumbe hauna akili baba
Ramon Abbas JF-Expert Member Joined May 4, 2021 Posts 1,964 Reaction score 3,913 Oct 24, 2021 #5 Tlmau said: Kumbe hauna akili baba Click to expand... unamtukana babako? kazaa toto nalo akina kama ya baba yake
Tlmau said: Kumbe hauna akili baba Click to expand... unamtukana babako? kazaa toto nalo akina kama ya baba yake
Mkereketwa_Huyu JF-Expert Member Joined Feb 19, 2011 Posts 9,836 Reaction score 7,231 Oct 26, 2021 #6 Tlmau said: Kumbe hauna akili baba Click to expand... Akili ninayo na ndiyo maana nimekupima