Kuna biashara ya mtandaoni jamaa mmoja amenieleza kuwa imewatoa wengi. Biashara yenyewe ina itwa d9 clube trading. Kama kuna mtu anaifahamu naomba anifafanulie kama haina shida yeyote
Kuna biashara ya mtandaoni jamaa mmoja amenieleza kuwa imewatoa wengi. Biashara yenyewe ina itwa d9 clube trading. Kama kuna mtu anaifahamu naomba anifafanulie kama haina shida yeyote
Hiyo "parking at owners risk" umeiona mjini tu? Mashambani je? Ukame au Viwavi jeshi vikija si unabakia patupu. Kila jambo lina risks zake ndugu ! Ila wachumi wanaposema "the higher the risk, the higher the earnings" wengi hujiuliza uhalisia wake ukoje!