Asante,makao Makuu Ya Halmashauri Yako Kata Gani?Nafahamu zamani Uyui kama wilaya walikuwa hawana ofisi yao.
Walikuwa wamepewa majengo pale manispaa ya Tabora.
Ila kwa sasa nasikia wamejenga ofisi za utawala Uyui. Lakini walipojenga bado hapajachangamka. Nafikiri watumishi wengi wa manispaa bado wanalala Tabora manispaa na kwenda kazini asubuhi.
Mvua ziwikepo unaweza ukalima mpunga. Hata karanga pia zinakuwa vizuri.
Ni muda mrefu tangu niende huko. Tusubiri data za wengine.
Dah ni muda mkuu. Sina uhakika wa kata. Japo najua kuna zahanati pale inaitwa isikizya. Sasa sijui kama ndiyo jina la kata.Asante,makao Makuu Ya Halmashauri Yako Kata Gani?
Umbali Wa Kutoka Makao Makuu Hayo Mpaka Tabora Mjini Ni Km Ngapi?