Hongera.Habarini za saa hizi wana JF,
Nina mawazo ya kujenga shambani kwangu lakini ni kighorofa cha floor moja tu ambapo juu nitaweka Master bedroom, ofisi na balcon tu kwa ajili yangu na mke wangu ila watoto na wageni watalala upande wa chini
Sasa nilikuwa naomba kujua gharama za kupandisha slab na zile nguzo zake pamoja na beam yaani (skeleton structure) yote inaweza kufika kiasi gani?
Shukrani ...
Kwa ukubwa huo, slab tu inaweza kula 10m-14m na itategemea nondo na idadi utakazotumia, vitu vya kukodi au kununua.Wengine hutumia njia fupi kukwepa gharama, lakini cha muhimu zaidi kwenye ujenzi ni ubora.Juu pekee inaweza tu kuwa mita 8 kwa 8, ila chini inafika mita 10 kwa 15
Ungekuwa na ramani yake ningekupa makadirio ndani ya saa mojaHabarini za saa hizi wana JF,
Nina mawazo ya kujenga shambani kwangu lakini ni kighorofa cha floor moja tu ambapo juu nitaweka Master bedroom, ofisi na balcon tu kwa ajili yangu na mke wangu ila watoto na wageni watalala upande wa chini
Sasa nilikuwa naomba kujua gharama za kupandisha slab na zile nguzo zake pamoja na beam yaani (skeleton structure) yote inaweza kufika kiasi gani?
Shukrani ...
Kwa ukubwa huo,slab tu inaweza kula 10m-14m na itategemea nondo na idadi utakazotumia,vitu vya kukodi au kununua.Wengine hutumia njia fupi kukwepa gharama,lakini cha muhimu zaidi kwenye ujenzi ni ubora
Max. tofali 1100Chief mi naomba kujua estimates za tofali kwa ukuta kwenye kiwanja cha 15x18... natanguliza shukrani
YaniiiiiSijui kwanini kwenye ujenzi tunatishana sana!
Watafute jamaa hawa wakuuzie hii ramani. Inakula slab ndogo.Habarini za saa hizi wana JF,
Nina mawazo ya kujenga shambani kwangu lakini ni kighorofa cha floor moja tu ambapo juu nitaweka Master bedroom, ofisi na balcon tu kwa ajili yangu na mke wangu ila watoto na wageni watalala upande wa chini
Sasa nilikuwa naomba kujua gharama za kupandisha slab na zile nguzo zake pamoja na beam yaani (skeleton structure) yote inaweza kufika kiasi gani?
Shukrani ...
max. tofali 1100