Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,600
- 35,158
Kwani aliye ku dezainia hilo ghorofa lako hayupo? Kama ameku dizainia anashindwa vipi kukupa makadirio ya bei?Habarini za saa hizi wana JF,
Nina mawazo ya kujenga shambani kwangu lakini ni kighorofa cha floor moja tu ambapo juu nitaweka Master bedroom, ofisi na balcon tu kwa ajili yangu na mke wangu ila watoto na wageni watalala upande wa chini.
Sasa nilikuwa naomba kujua gharama za kupandisha slab na zile nguzo zake pamoja na beam yaani (skeleton structure) yote inaweza kufika kiasi gani?
Shukrani...
Kwani aliye ku dezainia hilo ghorofa lako hayupo? Kama ameku dizainia anashindwa vipi kukupa makadirio ya bei?
Inatia moyo kusikia hivi....ila wazee wa msingi umegharimu milioni 80 Mungu anawaonaKwa standards za kawaida, suspended slab inakuwa na thickness ya 0.125m.
8x8x.125 = 8 cubic meters of concrete.
Ambayo ni kama mifuko 70 ya cement.
7 cubic meters za kokoto.
4 cubic meters za mchanga.
Hii ni kama concrete ni M20 na ujatoa space ya ngazi (ngazi zipo kwa nje).
Steel kwenye suspended slab inatakiwa 80kg/cubic meter.
Kwenye 8 cubic meters utahitaji 640kg of steel (price index ya steel ni appr. 1000$/tonne).
Slab peke yake itakugharimu kama milioni 5 au 6.
Usisahau mabomba ya wiring.
kunena ili kujua idadi ya tofali kwenye kiwanja hicho, hebu fanya hivi- pima urefu wa tofali moja, ukishajua urefu wa hilo tofali (inaweza kuwa katika vipimo vya cm au inchi); tafuta urefu wa hizo kuta zako katika cm au inchi. Kisha gawanya, yaani urefu wa tofali gawanya kwa urefu wa ukuta - huo wa 15m na huo wa 18m. utajua ni tofali ngapi then zidisha mara course au mistari za huo ukuta! Utajua idadi ya tofali na kisha gharama zake! Changamasha BONGO!Chief mi naomba kujua estimates za tofali kwa ukuta kwenye kiwanja cha 15x18... natanguliza shukrani
Ni Tatizo hilo
Hujui mtu anayedesign na kupiga hesabu ni watu wawili tofauti na wanakwenda shule kwa ajili hiyo ??
Swali lililenga vilivyofanyika tayari practically sio theoretically [emoji1666]
Nyumba yeyote ni TAMU upate tuKanyumba katamu haka.
Tafuta 80m mpaka ikamilikeHabarini za saa hizi wana JF,
Nina mawazo ya kujenga shambani kwangu lakini ni kighorofa cha floor moja tu ambapo juu nitaweka Master bedroom, ofisi na balcon tu kwa ajili yangu na mke wangu ila watoto na wageni watalala upande wa chini.
Sasa nilikuwa naomba kujua gharama za kupandisha slab na zile nguzo zake pamoja na beam yaani (skeleton structure) yote inaweza kufika kiasi gani?
Shukrani...
Sasa nipe comnection ya fundi michaelNyumba yeyote ni TAMU upate tu
Fundi wa kupiga bati vizuri,
Upate Mtaalamu au wewe mwenyewe ujue kuchagua Rangi ya Nyumba yako inayotulia machoni..
Kwenye finishing Atleast jitahidi umalizie na Classic Material (Taa + Urembo)
Hata kama ni Single room Ikipigwa picha ikitupiwa hapa Lazima kimiminika kikutoke..