Naomba kufahamishwa gharama ya kubadili kadi ya umiliki wa gari

changaule

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2020
Posts
6,039
Reaction score
10,151
Wakuu habarini za majukumu, naomba kufahamishwa gharama ya kubadili kadi ya umiliki wa gari / bajaji ni kiasi gani cha pesa?
Na gharama ya kukata kibali cha Sumatra ni bei gani?
 
Kubadili kadi 20k tu. Ila kuhusu sumatra binafsi sijui
 
Kwaajili ya kununua tena gari?
DFh.jpg
 
Back
Top Bottom