Naunga mkono hoja.Dr hilda tmj yuko gud saana
Aisee huyu Dr.Angela Thomas Alinisaidia sana Muhimbili pia unaweza kwenda Muhimbili yupoDoctor Thomas hua anakuepo Tumaini hospital siku za jumanne jioni na jumamosi asubuhi.
Pia Rabininsia kuna Dr. KashagamaNaunga mkono hoja.
Dr. Hilda anapatikana TMJ na RABININSIA ya Tegeta.
Tumaini hospital iko maeneo ya Upanga magore street karibu na diamond jubilee hall
Doctor Thomas hua anakuepo Tumaini hospital siku za jumanne jioni na jumamosi asubuhi.
Humu hawapo
Mana nna shida nao
Waje hata Pm mana nna shida nao sanaHumu ukiwauliza watakujibu lkn hawatasema km ndiyo wao
Waje hata Pm mana nna shida nao sana
Atakaye kujibu swali lako vzr ndiyo nenda nae Pm
Hawajibu sasa