Naomba kufahamishwa Gynecologist mzuri Dar es Salaam

Fungua uzi wako andika tatizo lako watakujibu, lkn hivyo unavyotaka siyo rahisi maana utajua kazi ya muhusika moja kwa moja
[emoji24]kufungua uzi mtihani maana umu kila mtu akili zake mwingine badala akushauri anakukejeli
 
[emoji24]kufungua uzi mtihani maana umu kila mtu akili zake mwingine badala akushauri anakukejeli

Hapa utachagua pumba na mchele, Wala use hofu my dear kuna watu wanatatizo kubwa zaidi ya hilo lako.
Chukua maamuzi fungua uzi, usijali kejeli za wengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…