Naomba kufahamishwa haya kuhusu ving'amuzi vya Azam

Joined
Aug 23, 2021
Posts
8
Reaction score
8
Wakuu habari za saa hizi,

Naomba kuuliza, Kati ya king'amuzi cha Azam antenna na King'amuzi cha Azam Dish kipi bora na kizuri?

Naona Bei ni tofauti nilitaka kujua nini ambacho hakipo katika antenna na nini ambacho kipo katika Dish.[emoji120][emoji120]
 
Antena ni bora hata mvua ikinyesha hakiyumbi wala picha kuganda
 
Wakuu habari za saa hizi,

Naomba kuuliza, Kati ya king'amuzi cha Azam antenna na King'amuzi cha Azam Dish kipi bora na kizuri?

Naona Bei ni tofauti nilitaka kujua nini ambacho hakipo katika antenna na nini ambacho kipo katika Dish.[emoji120][emoji120]
Dish
 
Antenna kitakuwa kizuri maana huku mtaani mtu akiongea au kufanya jambo lolote lisilo la kawaida ana ambiwa dish limeyumba
 
Kwenye antenna Kuna baadhi ya Chanel hupati. Kifurushi cha juu antenna no 28000 wakati dish Ni 35000
 
cha antenna kinaniudhi ikipita tu ndege kina scratch mpaka ipite,ila jua mvua fresh tu
 
Cha antena kipo poa sana mi nakitumia nimekiweka dirishan tu kinakamata vzur sana
 
Ubora wa antena upo pale kama ni mpangaji na utaki kesi na mwenye nyumba kwa maana installation yake ni rafiki ukilinganisha na dishi.

Dishi lina changamoto hii hapa(hii ni kulingana na eneo unalopatikana)kama fundi hajalifunga sawa wakati wa mvua Tv kwako itabaki mzigo maana channel kuzipata utata.

Kingine kuna fundi nlikuwa naongea naye akasema antena za azam zinapata mawimbi kutoka kwenye minara sasa kama hii kweli kuna uwezekano mkubwa signal ikawa chenga kwa maeneo ya pembezoni na miji.
 
Ubora wa antena upo pale kama ni mpangaji na utaki kesi na mwenye nyumba kwa maana installation yake ni rafiki ukilinganisha na dishi.

Dishi lina changamoto hii hapa(hii ni kulingana na eneo unalopatikana)kama fundi hajalifunga sawa wakati wa mvua Tv kwako itabaki mzigo maana channel kuzipata utata.

Kingine kuna fundi nlikuwa naongea naye akasema antena za azam zinapata mawimbi kutoka kwenye minara sasa kama hii kweli kuna uwezekano mkubwa signal ikawa chenga kwa maeneo ya pembezoni na miji.
 
Wakuu habari za saa hizi,

Naomba kuuliza, Kati ya king'amuzi cha Azam antenna na King'amuzi cha Azam Dish kipi bora na kizuri?

Naona Bei ni tofauti nilitaka kujua nini ambacho hakipo katika antenna na nini ambacho kipo katika Dish.[emoji120][emoji120]
Ili upate jibu sahihi eleza unaishi wapi maana kila kimoja kina umbali wake wa kunasa mawimbi.
 
Wakuu habari za saa hizi,

Naomba kuuliza, Kati ya king'amuzi cha Azam antenna na King'amuzi cha Azam Dish kipi bora na kizuri?

Naona Bei ni tofauti nilitaka kujua nini ambacho hakipo katika antenna na nini ambacho kipo katika Dish.[emoji120][emoji120]
Mkuu nakushauri kama pesa ipo nunua cha dish uzuri wa dish unapata picha nzuri, hv vya antena si vizuri sana picha zake zina kuwa hazina ubora sana.
 
Back
Top Bottom