David Buzzizer
Member
- Aug 23, 2021
- 8
- 8
DishWakuu habari za saa hizi,
Naomba kuuliza, Kati ya king'amuzi cha Azam antenna na King'amuzi cha Azam Dish kipi bora na kizuri?
Naona Bei ni tofauti nilitaka kujua nini ambacho hakipo katika antenna na nini ambacho kipo katika Dish.[emoji120][emoji120]
Antenna kitakuwa kizuri maana huku mtaani mtu akiongea au kufanya jambo lolote lisilo la kawaida ana ambiwa dish limeyumbaWakuu habari za saa hizi,
Naomba kuuliza, Kati ya king'amuzi cha Azam antenna na King'amuzi cha Azam Dish kipi bora na kizuri?
Naona Bei ni tofauti nilitaka kujua nini ambacho hakipo katika antenna na nini ambacho kipo katika Dish.[emoji120][emoji120]
Ubora wa antena upo pale kama ni mpangaji na utaki kesi na mwenye nyumba kwa maana installation yake ni rafiki ukilinganisha na dishi.
Dishi lina changamoto hii hapa(hii ni kulingana na eneo unalopatikana)kama fundi hajalifunga sawa wakati wa mvua Tv kwako itabaki mzigo maana channel kuzipata utata.
Kingine kuna fundi nlikuwa naongea naye akasema antena za azam zinapata mawimbi kutoka kwenye minara sasa kama hii kweli kuna uwezekano mkubwa signal ikawa chenga kwa maeneo ya pembezoni na miji.
Ili upate jibu sahihi eleza unaishi wapi maana kila kimoja kina umbali wake wa kunasa mawimbi.Wakuu habari za saa hizi,
Naomba kuuliza, Kati ya king'amuzi cha Azam antenna na King'amuzi cha Azam Dish kipi bora na kizuri?
Naona Bei ni tofauti nilitaka kujua nini ambacho hakipo katika antenna na nini ambacho kipo katika Dish.[emoji120][emoji120]
Sisi tunaoishi Katerero huku ndani ndani si ni ishu sana?!!!.Ili upate jibu sahihi eleza unaishi wapi maana kila kimoja kina umbali wake wa kunasa mawimbi.
Mkuu nakushauri kama pesa ipo nunua cha dish uzuri wa dish unapata picha nzuri, hv vya antena si vizuri sana picha zake zina kuwa hazina ubora sana.Wakuu habari za saa hizi,