Hivi mwanaume unaendaje kufanyiwa waxing au massage ya kinena!?Kiongozi kwan hii ni gender issue...??
Huo ujasiri wa kuonyesha mtu nyuchi yako akufanyie waxing. Umejiandaa na yafuatayo?Kwann mkuu
Hiyo huduma mbona ni common sana na mara nyingi hufanya wanawake kwa wanawake wenzao,(wapo wanaume pia), unaweza ukanunua mwenyewe vifaa ukafanya nyumbani kwako ukiwa na mwenza wako,Huo ujasiri wa kuonyesha mtu nyuchi yako akufanyie waxing. Umejiandaa na yafuatayo?
Nadhani umekosea "natoa" au "wanatoa". Ukirekebisha niambie nifute hii quote.Hiyo huduma ni kwa Mashoga huwa natoa mavuzy Mku.ndu
Hii huduma hutolewa na saloon mbali mbaliSamahani wadau napenda kufaham kuhusu hii huduma ya Waxing.
1. Inatolewaje na utolewa na akina nani?
2. Mfno ukifanya waxing ya kwapa au kule kwa bibi nywele/,vinyweleo uota baada ya muda gani?
3. Tofauti na Saloon unaweza pata wapi material na ni kiasi gani?
4. Madhara yake ni Yapi?
5. Kwa wale mlioko Mwanza Saloon gani ina hizi huduma/ Utolewa wapii.
Naomba kuwasilisha.
Haha hivi kuna watu wanaweza kujifanyia waxing wenyewe?Nunua karatasi za kufanyia waxing, saga sukari yako, koroga na maji paka kwenye karatasi zen bandika unakotaka kunyoa zen kaa kidogo toa hilo karatasi
1.saloon zenye huduma hiyo wanaandika 'waxing' na aina zakeSamahani wadau napenda kufaham kuhusu hii huduma ya Waxing.
1. Inatolewaje na utolewa na akina nani?
2. Mfno ukifanya waxing ya kwapa au kule kwa bibi nywele/,vinyweleo uota baada ya muda gani?
3. Tofauti na Saloon unaweza pata wapi material na ni kiasi gani?
4. Madhara yake ni Yapi?
5. Kwa wale mlioko Mwanza Saloon gani ina hizi huduma/ Utolewa wapii.
Naomba kuwasilisha.
Samahani wadau napenda kufaham kuhusu hii huduma ya Waxing.
1. Inatolewaje na utolewa na akina nani?
2. Mfno ukifanya waxing ya kwapa au kule kwa bibi nywele/,vinyweleo uota baada ya muda gani?
3. Tofauti na Saloon unaweza pata wapi material na ni kiasi gani?
4. Madhara yake ni Yapi?
5. Kwa wale mlioko Mwanza Saloon gani ina hizi huduma/ Utolewa wapii.
Naomba kuwasilisha.
Anataka tiGo iwe swafiunataka waxing gani ? maana zipo nyingi mpaka za mfereji , sidhani kama hapo Mwanza kuna huduma hii, ingia youtube utakuta maelekezo utengeneze wax yako kwa asali au sukari
Anataka tiGo iwe swafi
Ulipata huduma?Samahani wadau napenda kufaham kuhusu hii huduma ya Waxing.
1. Inatolewaje na utolewa na akina nani?
2. Mfno ukifanya waxing ya kwapa au kule kwa bibi nywele/,vinyweleo uota baada ya muda gani?
3. Tofauti na Saloon unaweza pata wapi material na ni kiasi gani?
4. Madhara yake ni Yapi?
5. Kwa wale mlioko Mwanza Saloon gani ina hizi huduma/ Utolewa wapii.
Naomba kuwasilisha.
Haha hivi kuna watu wanaweza kujifanyia waxing wenyewe?
Maumivu yale?.
Leo ndo mara ya kwanza kusikia.Hiyo huduma mbona ni common sana na mara nyingi hufanya wanawake kwa wanawake wenzao,(wapo wanaume pia), unaweza ukanunua mwenyewe vifaa ukafanya nyumbani kwako ukiwa na mwenza wako,
Nywele zinaweza kuchukua hadi mwezi kuota tena na ukijizoesha basi zinakua zinaota zikiwa lainiii sio za kukakamaa, pia waxing inasaidia kukukinga na mapele na weusi ambao hupata wale wanaonyoa kwa viwembe,
NB: kazi ya Waxing inasomewa na mtu anapata cheti cha mafunzo ili apate leseni, kumbuka ni mtu anayedeal na ngozi za binaadam kwa hivyo ni lazima awe na idea na anachokifanya, labda kibongo bongo ndio mambo huenda vululu vululu.