Naomba kufahamishwa jinsi ya kutoa hela iliyopo kwenye cryptocurrency

The Genius

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2018
Posts
822
Reaction score
2,095
Wakuu salamu

Naomba kufahamishwa jinsi ya kutoa hela iliyopo kwenye cryptocurrency kuja kwenye Tsh kwa njia ya mitandao ya simu kama Voda, Airtel,Tigo nk

Pili,naomba kujulishwa jinsi ya kutumia Paypal na jinsi ya kui connect ya mitandao ya simu za mkononi kama Tigo pesa,Mpesa nk ili niweze kutoa hela.
 
Hizo coin zako zipo kwenye wallet ipi?
 
Rushia benki, japo kuna makato makubwa
 
Uzi mzuri twendelee chap chap kabla ya zwangendaba hawajafika bado wao wanzani tupo miaka ya 70 hivi
 
Cryptocurrency zote aaivi zinaelekea njia moja nayo ni down....watu walionunu kipindi zikiwa juu wajitegemeea watapata faida wanalia...badhi ya Traders tayari walisitisha withdraws maana wengi wanakimbilia kuuza kukwepa hasara zaidi.
 
Habari,
Video Subtittling ni moja Soft Skills ambayo inahitajika sana katika majukwaa ya kazi za mtandaoni (Freelancing Platforms), kwa anayehitaji kuanza Skills hii ya video Subtittling nimeandaa training fupi na rahisi Zaidi kuelewa.



Mafunzo utalipia 20,000 TZS pesa ambayo ukiipata Skills hii utaweza kuipata ukifanya video ya lisaa limoja tu Upwork, au kwenye Agency.

Kutokana na Tangazo langu la mwanzo baadhi ya wadau waliomba Training iwe online maana hawatakuwa na muda, nimejaribu kuandaa lessons kupitia Telegramu Group nimejitahidi kuelezea kwa urahisi sana na kwa Kiswahili.

WhatsApp Group



Lesson zipo mbili
1) Kuweka Subtittles kwenye video
2) Kusevu Subtittles kwenye video (Burning)

Nimeelekeza Software Tools ambazo unatakiwa kuwa nazo na jinsi zinavyofanya kazi.

Lesson 01 (Outlines)
*Jinsi ya kuweka video kwenye program
*Jinsi ya kuandika Subtittles
*Jinsi ya kuediti Subtittles (Font & Location)
*Jinsi ya kuseti muda (Start & End time)
*Work concistency

Lesson 02:
Baada ya kutengeneza Subtittle yetu tutaangalia jinsi ya kuiunganish video na Subtittles kwa kutumia Software tool husika.

Training yote nimeshaiandaa kwenye TELEGRAM GROUP mafunzo haya ya Skills hii ya Video Subtittling ni 20,000 Tzs tu ukipitia maelekezo na lessons zote utakuwa na uwezo wa kuweka subtitle kwenye video yeyote Duniani iwe Nyimbo, movie, iwe slow iwe speed.



NI PM FOR IT
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…