Naomba kufahamishwa juu ya sifa za kudahiliwa na certificate ya Nursing

Naomba kufahamishwa juu ya sifa za kudahiliwa na certificate ya Nursing

Jemedary

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2015
Posts
212
Reaction score
72
Husika na kichwa cha habari hapo juu.
Nina ndugu yangu amemaliza mwaka uliopita (2014) form Iv na kupata alama zifuatazo
History E
Geography D
Kiswahili B
English C
Civics C
Biology C
Basic mathematics F
Vp kwa matokeo ayo anaweza kupata nafasi ya kujiunga na certificate ya Nursing katika chuo cha serikali??naomba nifahamishwe wanajamvi
 
Ni ngumu sana hiyo maana inatakiwa angalau ufaulu wa daraja D kwenye chemistry,biology na Physics kwa certificate ya nursing.
 
dah mshauri aende advance sababu inaonekana arts yuko vizuri asinganganie afya sabu hana chemistry na physcs
 
Haiwezekanii kwenda certificate government hatakidogoo labda vyuo vya uchochoronii
 
Haiwezekanii kwenda certificate government hatakidogoo labda vyuo vya uchochoronii

Vyuo vya uchochoroni ndio vipi hivyo??? Wewe bado unahizo kasumba ya kuwa vyuo vya serikali ndio vizuri?... angalia website ya nacte uone vyuo vingi vya afya ambavyo vinausajili wa kudumu, na vyeti vyake vinatambulika kama vya serikali.
 
Sijasemaa vyuo vya private vya uchochoronii babaa kunabaadhii ya vyuo watuu wanapigwa elaa sanasana vya nursing certificate babaa umenisoma vibaya babaaaa daaaa
 
Vyuo vya uchochoroni vipo wengi wamesoma iyo nersing one year course na kazi hawapati, kwa mambo ya nersing ni vema ukasoma chuo kinachotambulika ni vema zaidi kikawa cha serikali unakuwa na uhakika wa ajira.
 
Back
Top Bottom