dah mshauri aende advance sababu inaonekana arts yuko vizuri asinganganie afya sabu hana chemistry na physcs
haaa . mwambie aende dip ya ualimu mapemaaa maana iyo hkl/hgk atayo pgaa atasubr sanaa . awe taar kwenda teku
Haiwezekanii kwenda certificate government hatakidogoo labda vyuo vya uchochoronii
Vyuo vya uchochoroni ndio vipi hivyo??? Wewe bado unahizo kasumba ya kuwa vyuo vya serikali ndio vizuri?... angalia website ya nacte uone vyuo vingi vya afya ambavyo vinausajili wa kudumu, na vyeti vyake vinatambulika kama vya serikali.