Mtanmtan
Member
- Aug 26, 2020
- 14
- 7
Wakuu natanguliza shukurani za dhati kwenu,
Pia nakuja na ombi juu ya kuifahamu kiundani hii gari ndogo toyota belta maana nimejichanga nataka kuwa na kausafiri .... lakini kabla ya kuchukua maamuzi ni gari gani naomba kujua raha na karaha ya hii gani maana kulingana na cc zake niliona kama itanifaa juu ya ulaji wa mafuta.
Naomba mwenye ufahamu juu ya hii gari inipe info zake.
Toyota Belta