Muongezee akiipata aongezee suspension make hii gar iko chini sana na ukipakia watu wawil nyuma na bumps zetu ni kerooooBelta ni gari nzuri. Ila kwa hiyo unayoifikiria wewe ina changamoto moja kuu.
Vibrations ambazo husababishwa na kuziba kwa masega(catalytic conveter) au kutokuwepo kabisa au alternater kuongeza mzigo kwenye engine...
Na Cami, Spacio old modelBelta,Platz vina sura mbaya sana aiseee.