Naomba kufahamishwa kubadilisha fedha benki kuu

Naomba kufahamishwa kubadilisha fedha benki kuu

wanatamani

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2011
Posts
415
Reaction score
145
Naomba kufahamishwa kama mtu binafsi anaweza kubadili fedha benki kuu na kwa kiwango gani na kama kuna utaratibu wowote
 
Fedha chakavu zote zinapelekwa benki kuu kwa kubadilishwa kwa kiwango chochote kuanzia saa 2.30 hadi saa 4 asubuhi tu.
 
Back
Top Bottom