W wanatamani JF-Expert Member Joined Apr 10, 2011 Posts 415 Reaction score 145 Jun 24, 2015 #1 Naomba kufahamishwa kama mtu binafsi anaweza kubadili fedha benki kuu na kwa kiwango gani na kama kuna utaratibu wowote
Naomba kufahamishwa kama mtu binafsi anaweza kubadili fedha benki kuu na kwa kiwango gani na kama kuna utaratibu wowote
Asante JF-Expert Member Joined Dec 18, 2009 Posts 2,086 Reaction score 1,081 Jun 24, 2015 #2 Fedha chakavu zote zinapelekwa benki kuu kwa kubadilishwa kwa kiwango chochote kuanzia saa 2.30 hadi saa 4 asubuhi tu.
Fedha chakavu zote zinapelekwa benki kuu kwa kubadilishwa kwa kiwango chochote kuanzia saa 2.30 hadi saa 4 asubuhi tu.