Naomba kufahamishwa kuhusu biashara ya Chikichi Kavu

Naomba kufahamishwa kuhusu biashara ya Chikichi Kavu

stem

Member
Joined
Jun 15, 2024
Posts
6
Reaction score
9
Habari zenu wapendwa,

Naomba kujua kuhusu biashara ya chikichi kavu na soko lake kwa ujumla na changamoto zilizopo kwenye biashara hiyo kwa mwenye ufahamu

Aksanteni!!
 
Back
Top Bottom