Naomba kufahamishwa kuhusu biashara ya kobe

Naomba kufahamishwa kuhusu biashara ya kobe

Nasri39

Member
Joined
Jul 19, 2021
Posts
15
Reaction score
19
Nina Kobe lakini sifaham biashara yake ntaipata wapi. Inawezkana. Poor connection niliokua nayo. Kam kuna connection za kuuza kobe tujuzaje au biashara hizi ni za nadharua
 
Hakuna biashara hapo kuna Jela tu
images (8).jpeg
 
Nenda sites za wachina kajaribu, ukitaka sehemu ambayo unaweza hata kupata kobe 1000 nishtue nikuelekeze
 
Kobe ni nyara za serikali utapata case ya uhujumu uchumi
Nimekuelewa mkuu sema tupo kujua na kugundua biashara gan nzuri. Hii ya kobe mpaka unafanya uwe na kibali simanishishi wa kuokota tu. Mm binafsi sina kobe ila nataka kujua Value ya biashara ya kobe mfano. Ikiwa kama nina kobe. So huo ni kama mfano wa kumiliki then hujui pakupeleka. Sorr km sikueleweka
 
Kuna wanyama sio wa biashara. KAma mdau alivyosema hapo juu, ni nyara ya serikali. Unaweza kummiliki kwa maonyesho baada ya kuwa na vibali vya serikali ila si kwa lengo la kuwauza
 
Mie niliokotaga Kobe shambani kwetu nikaja kumfuga home, so sad alikufa baada ya mwezi tu
 
Back
Top Bottom