Naomba kufahamishwa kuhusu chuo cha afya cha Lugalo

Naomba kufahamishwa kuhusu chuo cha afya cha Lugalo

Mkudisingo

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2014
Posts
421
Reaction score
122
polen na majukumu wakuu..Kwa anaye fahamu tafadhali naomba anifahamishe kuhusu chuo cha lugalo cha afya dar ni private au serikali?application form lini znatoka ada na vigezo.vya kujiunga na cozi ya Clinical officer ngazi ya diploma ahsanteni.
 
nagugle ila sipati taarifa kamili inawezekana siingii sehemu husika ndio maana nimekuja humu najua wanaofahamu watanijulisha wasio fahamu pitiliza
 
Back
Top Bottom