Mkudisingo JF-Expert Member Joined Mar 26, 2014 Posts 421 Reaction score 122 Apr 2, 2014 #1 polen na majukumu wakuu..Kwa anaye fahamu tafadhali naomba anifahamishe kuhusu chuo cha lugalo cha afya dar ni private au serikali?application form lini znatoka ada na vigezo.vya kujiunga na cozi ya Clinical officer ngazi ya diploma ahsanteni.
polen na majukumu wakuu..Kwa anaye fahamu tafadhali naomba anifahamishe kuhusu chuo cha lugalo cha afya dar ni private au serikali?application form lini znatoka ada na vigezo.vya kujiunga na cozi ya Clinical officer ngazi ya diploma ahsanteni.
Threesixteen Himself JF-Expert Member Joined Feb 12, 2013 Posts 8,233 Reaction score 8,022 Apr 2, 2014 #2 ! ! mie sijui...ebu jaribu kugugo
Mkudisingo JF-Expert Member Joined Mar 26, 2014 Posts 421 Reaction score 122 Apr 2, 2014 Thread starter #3 nagugle ila sipati taarifa kamili inawezekana siingii sehemu husika ndio maana nimekuja humu najua wanaofahamu watanijulisha wasio fahamu pitiliza
nagugle ila sipati taarifa kamili inawezekana siingii sehemu husika ndio maana nimekuja humu najua wanaofahamu watanijulisha wasio fahamu pitiliza