Wanaulizaga maswali ya kupima uelewa wa kawaida
Maranyingi yanakuwa maswali ya multiple choice
Na pia time based ukichelewa tu kujibu swali , linaondoka linakuja jingine au muda ukiisha system inajifunga
Maswali yao yanakuwa very trick na majibu yanakuwa yanafanana sana yanataka maauzi yaharaka ili kwenda na muda