Naomba kufahamishwa kuhusu ESRA Company

Naomba kufahamishwa kuhusu ESRA Company

msimamia kucha

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2013
Posts
683
Reaction score
551
Wakuu habari za asubuhi,

Naomba kujua kwenye ufahamu na hii kampuni esra company ltd nimejaribu kuifuatilia sielewi ofisi zao ziko wapi kwa hapa Dar mana walinitumia Email kuhusu kazi kupatikana.

Mwenye uelewa anijuze.
 
Labda wanafanya online
 
Wakuu habari za asubuhi,

Naomba kujua kwenye ufahamu na hii kampuni esra company ltd nimejaribu kuifuatilia sielewi ofisi zao ziko wapi kwa hapa Dar mana walinitumia Email kuhusu kazi kupatikana.

Mwenye uelewa anijuze.
Kaka ushapata maelezo kuhusu hii kampuni maana na mimi nimetumiwa email yao Leo
 
Back
Top Bottom