Hi,
Naomba msaada kwa anayefahamu. Naomba kufahamu roughly ni Diesel/Petrol kiasi gani naweza kutumia kutoka Dar es Salaam kwenda Mwanza kwa kutumia Gari lenye Engine Capacity (cc) 3000. Aina ya Gari ni LAND CRUISER 200 VX Wagon V8 DIESEL AUTOMATIC 4WD.
NB NAHIYTAJI UHALISIA NA UZOEFU ZAIDI KULIKO SCIENCE NA SPECIFICATION, kwani hili gari fuel economy yake kutokwa kwa manufacturer inapokuwa kwenye hali yaje mzuri bila ya uchakavu ni 9.5L/100km inamaana inakula lita 1 kwa kila kilomita 10.5.
ZINGATIA KUWA GARI HILI LINA UMRI WA MIAKA 5 TU. PIA CHUKULIA UMBALI KUTOKA DAR MPAKA MWANZA NI KILOMITA 1150. ASANTENI