Naomba kufahamishwa kuhusu fuel consumption toka Dar es Salaam mpaka Mwanza

Nitarudi
 
Hi,

Naomba msaada kwa anayefahamu. Naomba kufahamu roughly ni Diesel/Petrol kiasi gani naweza kutumia kutoka Dar es Salaam kwenda Mwanza kwa kutumia Gari lenye Engine Capacity (cc) 3000. Aina ya Gari ni LAND CRUISER 200 VX Wagon V8 DIESEL AUTOMATIC 4WD.

NB NAHIYTAJI UHALISIA NA UZOEFU ZAIDI KULIKO SCIENCE NA SPECIFICATION, kwani hili gari fuel economy yake kutokwa kwa manufacturer inapokuwa kwenye hali yaje mzuri bila ya uchakavu ni 9.5L/100km inamaana inakula lita 1 kwa kila kilomita 10.5.

ZINGATIA KUWA GARI HILI LINA UMRI WA MIAKA 5 TU. PIA CHUKULIA UMBALI KUTOKA DAR MPAKA MWANZA NI KILOMITA 1150. ASANTENI
 
Sasa si ugawe 1150Γ·10.9= 109.5 so andaa kama lita 120

[/QUOTE]
 
Gari ina cc3000. Halafu ni VX 4.5L v8! Umenikumbusha kuna jamaa aliingia kwa dealer wa Range Rover akaanza kuuliza habari za fuel consumption wakamwambia wewe si mteja wa RR.

Samahani mkuu mwenye VX haulizii fuel consumption.
Straight away, hawezi kuwa mtejaπŸ˜‚
 
Umeshajiuliza kama ni safari ya familia atalipia watu wangapi?
Kwa maelezo yake anataka kumchukua kizee, sasa kama hilo ni lengo ni afadhali amkatie tu ndege.
240L ni around 200k ambayo ni karibu na hela atazotumia kwenye ndege, tena hapo kwenye gari kuna muda, gharama za service, rushwa za mapolisi, uchovu hasa kwa anayemleta.
Ni bora ndege mkuu na kama kuna mizigo ya ulazima ataituma kwa basi
 
Hapo sahihi
 
Hahaahaahaa eti kumleta kizee[emoji28][emoji28][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji28][emoji28]
 
Watu 5, na ni route ndefu nya kufika mpaka Serengeti. Ingekuwa safari ya kawadia sawa ndege ingelipa.
Kumbe unafanya utalii wa ndani, bravo enjoy maisha mkuu.
Ukiwa unaingia hifadhini kuna ada ya kizushi kwa idadi ya vichwa.
Pia njia ni rough road haina rami ila imetulia mara ya mwisho mimi kupita, kwa gari lako utapita salama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…