L Lwamadovela JF-Expert Member Joined Mar 5, 2019 Posts 324 Reaction score 235 Aug 1, 2021 #1 Wajameni najua hapa kuna watalamu wa kutosha.mitsubishi fuso bus seat 45 mpaka niimiliki bei gani?vipi uimara wake? Inaweza kwenda kwa miaka mingapi? Kwa safari za km 420 kwa siku.
Wajameni najua hapa kuna watalamu wa kutosha.mitsubishi fuso bus seat 45 mpaka niimiliki bei gani?vipi uimara wake? Inaweza kwenda kwa miaka mingapi? Kwa safari za km 420 kwa siku.