Naomba kufahamishwa kuhusu gari aina ya Mitsubishi RVR

Platnam

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2011
Posts
769
Reaction score
1,237
Wakuu naombeni mwenye ufahamu kuhusu hii gari, Mitsubishi RVR.

Je, ni gari nzuri kwa matumizi ya hapa kwetu. Haswa kwenye swala la reliability.

 
1. Spea adimu, hapa TZ,
2. Mafundi hawazijulii,
3. Alternatively, Chukua Nissan X-trail (Bei poa, spea kama zote, Engine cc 1,990. Mafundi kama wote)







 
2010 Ni hivi karibuni? ( Miaka 12 iliyopita?) Umaskini mbaya aisee
Soma uelewe mkuu... Usiwe judgmental hata kwa watu usiowajua. Gari aliyotaja jamaa ni miaka ya 2002 huko... Version niliyozungumzia ni kuanzia 2010 ndio maana kuna neno "kuanzia". Kama lugha mama huelewi sidhani kama unaweza kuwa na mchango wa maana.. Acha wenye uelewa wachangie. Jifunze kutokua na dharau pia.
 
Mashosti Mumeanza kuparurana
 
Wakuu naombeni mwenye ufahamu kuhusu hii gari, Mitsubishi RVR. Je ni gari nzuri kwa matumizi ya hapa kwetu. Haswa kwenye swala la reliability.

View attachment 2203396
Hiyo gari ni nzuri na Spare zipo , Spare zake inafunga na Mitsubishi Autolander, kuanzia shock up za mbele na nyuma inafunga Spare za Autolander mpaka brake Pad, kiufupi ni Autolander, ni kama Kluger na Harrier
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…