Akili 09 Nguvu 01
JF-Expert Member
- Jun 23, 2015
- 695
- 1,377
shatisuruali Keshakujibu; hutakihitaji Tanzania kwa vile mageti yetu ya ushuru barabarani bado hayajaunganishwa kielectronic
Ahsante sana mkuu nimekuelewa vizuri mnoHicho ni kifaa Cha kielektroniki Cha kulipia ushuru wa Mageti barabarani. Kinasoma kadi maalumu Ambayo unairecharge pesa. Kwa mfano pale darajani kigamboni, badala ya wewe kulipa cash ndo upite, kwa japani hicho kifaa kinafanya malipo automatikali. Ko ukifika tu geti linafunguka unapita. Hela inakua imeishakatwa.