Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndg zangu naombeni munisaidie kuhusu hii KATIBA yetu inayopendekezwa ina SURA ngapi na IBALA ngapi ?
baada ya hapo ninaomba mnifafanulie kuhusu sura inayohusu Haki na Wajibu wa raia inakuaje.
naomba kuwasilisha kwenu.
Nakushauri upate muda wa kuisoma,hapa JF utapata msaada lakini ni vema ukajipatia copy yako mwenyewe uisome uielewe ili uwe na maamuzi yako mwenyewe wakati wa kupiga kura.Kwa ujumla Katiba ina sura 19 na Ibara zote ziko 296 hii inatokana na jinsi nilivyoisoma,Sura ya 5 inaeleza Haki za Binadamu ,Wajibu wa Raia,Jamii na Mamlaka ya Nchi ndiyo imesheheni masuala unayoyataka hopo zaidi Members watachangia mie yangu ni hayo kama utanielewa sawa usiponielewa potezea!
Ndugu zangu naombeni mnisaidie kuhusu hii KATIBA yetu inayopendekezwa ina SURA ngapi na IBARA ngapi?
Baada ya hapo ninaomba mnifafanulie kuhusu sura inayohusu Haki na Wajibu wa raia inakuaje.
Naomba kuwasilisha kwenu
Vipi Butoto umeisoma Katiba Inayopendekezwa na kuelewa maudhui yake. Kama utakuwa na swali la uelewa unakaribishwa kwenye forum tutakujibu. Asubuhi njemaNdugu zangu naombeni mnisaidie kuhusu hii KATIBA yetu inayopendekezwa ina SURA ngapi na IBARA ngapi?
Baada ya hapo ninaomba mnifafanulie kuhusu sura inayohusu Haki na Wajibu wa raia inakuaje.
Naomba kuwasilisha kwenu