S simwela Member Joined Sep 15, 2014 Posts 71 Reaction score 9 Sep 15, 2014 #1 Jaman hivi anaesoma kozi hii, Anafanya kaz zipi? Na anajihusisha na nn hasa katika sector ya kilimo?
Tuko JF-Expert Member Joined Jul 29, 2010 Posts 11,180 Reaction score 7,346 Sep 15, 2014 #2 Anajihusisha na ufundi kwenye kilimo...
S simwela Member Joined Sep 15, 2014 Posts 71 Reaction score 9 Sep 15, 2014 Thread starter #3 Vp kuhusu mazao yatokanayo na kilimo pia anaeza akawa anahusika??
D DAN LOBAYA Member Joined Jul 29, 2014 Posts 85 Reaction score 6 Sep 15, 2014 #4 Nn tofauti ya agriculture na water resources and irrigation engineering