Naomba kufahamishwa kuhusu mchongo wa viazi vitamu kuuza ramadhani

Mfano; unalima VIAZI VITAMU sasa hivi target ni mauzo muda wa ramadhani na ndiyo mda wa kuvuna huo.

Bei zinakuwaje?

Gunia shiling ngapi?

Nahitaji ya kulima yapoje?
Unataka kulimia wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…