jangala22
Senior Member
- May 20, 2021
- 165
- 141
Habari za majukumu ndugu wanajamvi,
Naomba kufahamu mwanachama wa mfuko wa pensheni kwa Watumishi wa Umma anaweza kupata mkopo kupitia mfuko huo akitimiza miaka 10 kazini au mpaka atimize miaka mingapi Ili awe na sifa za kupata mkopo kupitia mfuko huo wa pensheni