Life matters
New Member
- Nov 21, 2022
- 2
- 3
Wadau wana jamiiforum kwa mwenye ufahamu wa huu mfumo wa uhamisho wa ess, Kuna mwalimu nabadilishana nae kutoka wilaya x ila kwangu mimi status inasoma tayari iko Tamisemi ila mwenzangu bado inasoma kwa supervisor na mkuu wak akiangalia halioni hilo ombi.
Sasa tunafanyaje hapo ili mkuu wake alione hilo ombi ili aweze kulipitsha kwa hatua za juu zaidi.
Sasa tunafanyaje hapo ili mkuu wake alione hilo ombi ili aweze kulipitsha kwa hatua za juu zaidi.