Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
One man downUNA MTAJI? Kama unao nitumie mimi kisha nitakupa wazo la biashara tukiwa Tulivu Pub na maji ya dhahabu ya kutosha
🙄🙄🙄 mkuu fanya research maeneo unayokaa, naa maeneo jirani huduma gani hakuna unaweza anza pata pa kuanzia.....Wasalam ndg/jamaa
Naomba kuuliza, je biashara ya electronic transactions kama mpesa, tigopesa, Airtel money na halopesa ,faida yake inapatikanaje?
Na je kwa hapa dsm, ipi biashara inatoa zaidi kwa mtaji kuanzia 1m? Na je ni maeneo yapi yanafaa?