Naomba kufahamishwa kuhusu mtaji unaohitajika ili kufanya hii biashara!

Wasalam ndg/jamaa
Naomba kuuliza, je biashara ya electronic transactions kama mpesa, tigopesa, Airtel money na halopesa ,faida yake inapatikanaje?
Na je kwa hapa dsm, ipi biashara inatoa zaidi kwa mtaji kuanzia 1m? Na je ni maeneo yapi yanafaa?
πŸ™„πŸ™„πŸ™„ mkuu fanya research maeneo unayokaa, naa maeneo jirani huduma gani hakuna unaweza anza pata pa kuanzia.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…