fesee
JF-Expert Member
- Dec 8, 2016
- 851
- 838
Wakuu habari za Kazi,
Hii kitu inaitwa Pi network kwa wanaoifahamu au kuifuatilia mnaionaje ni kweli itakuja kuipikua Bitcoin au ni Mbwebwe tu maana naifuatilia project yake iko Serious Sana.
Kwa anayeifahamu zaidi atupe Mawazo yake kwa asiyeijua ni Coin inayopatikana kwa Mining kupitia app unayodownload kwa Simu yako ya Smart na kujisajili alfu utakuwa unapata kias kidogo sana kwa sa 24 inamaliza mzunguko